Habari
Rostam: Tanzania kuichagua DP World kuendesha bandari lilikuwa chaguo bora zaidi
Mwenyekiti wa Taifa Group Ltd, Rostam Aziz amesema Tanzania kuichagua kampuni ya DP World lilikuwa ni chaguo bora zaidi kutokana na ufanisi ...Ashikiliwa kwa kudaiwa kumuua rafiki yake kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi linamshikilia Amos Mwita (17) mkazi wa Bugarika Bendera Tatu, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya ...VODACOM YAFANYA MABORESHO MAKUBWA YA MTANDAO KUWAHAKIKISHIA WATEJA WAKE HUDUMA BORA
Kampuni kinara ya teknolojia na mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania, imetangaza kufanya mabadiliko makubwa katika miundombinu ya mtandao wake ikiwa ni sehemu ya ...Mwanzilishi wa Tiktok sasa ndiye mtu tajiri zaidi nchini China
Mwanzilishi mwenza wa kampuni ya ByteDance, ambayo inamiliki TikTok, Zhang Yiming ndiye tajiri mpya nchini China kwa mujibu wa Ripoti ya 2024 ...Tanzania kuzisaidia nchi jirani kutokomeza ugonjwa wa Polio
Tanzania imeazimia kushirikiana na nchi jirani za ukanda wa Afrika ambazo bado zina viashiria vya virusi vya ugonjwa wa Polio ili kuutokomeza ...