Habari
Polisi wamsaka mwanamke aliyemnywesha pombe mtoto
Jeshi la Polisi limesema linamsaka mwanamke aliyeonekana kwenye picha mjongeo inayosambaa katika mitandao ya kijamii akimhamasisha na kumnywesha pombe mtoto. Taarifa iliyotolewa ...Polisi wamsaka kijana anayedaiwa kuua ndugu zake Kenya
Polisi wa Ol Kalou nchini Kenya wanamsaka kijana mwenye umri wa miaka 27 anayetuhumiwa kuwaua ndugu zake na kuwajeruhi watoto wawili kwa ...Mganga mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia kijana aitwaye Ally Juma Shaban (29) mganga wa tiba asilia na mkazi wa Makazi Mapya, Mlandizi ...Muliro: Tumewakamata waliobandika ‘SSH 2530’ kwenye vyombo vya moto
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema baadhi ya wamiliki wa vyombo vya moto wamekamatwa kwa kosa ...Rais mstaafu wa Peru ahukumiwa miaka 13 jela kwa utakatishaji fedha
Mahakama nchini Peru imemhukumu Rais wa zamani, Alejandro Toledo (74) kifungo cha miaka 13 na miezi minne jela kwa utakatisha fedha wakati ...Trump aishutumu China, Urusi na Korea Kaskazini kwa kula njama dhidi ya Marekani
Rais Donald Trump amemshutumu Rais wa China, Xi Jinping, Rais wa Urusi, Vladimir Putin pamoja na Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong ...









