Habari
Adaiwa kumuua mume wake baada ya kugundulika kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine
Mwanamke tajiri na mama wa watoto watatu, Jennifer Gledhill (42), amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumpiga risasi mumewe hadi kufa akiwa amelala ...Baba aliyeua watoto wake watatu ahukumiwa miaka 150 jela
Mahakama Kuu ya Bomet nchini Kenya imemhukumu kifungo cha miaka 150 jela mwanaume aitwaye Benard Kipkemoi Kirui mwenye umri wa miaka 40 ...Serikali: Trilioni 8.2 zimetumika kukopesha wanafunzi kwa kipindi cha miaka 20
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ((HESLB) imetumia shilingi trilioni 8.2 kugharamia ...Zelensky: Wanajeshi 46,000 wa Ukraine wameuawa kwenye vita
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema anaamini zaidi ya wanajeshi 46,000 wa nchi hiyo wameuawa na wengine takriban 380,000 wamejeruhiwa tangu kuanza ...Nafasi 63 za Ajira Serikalini
POST: MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT II)(RE-ADVERTISED) – 5 POST Employer: MDAs & LGAs More Details 2025-02-20 Login to Apply POST: MWALIMU DARAJA LA ...Majaliwa: Wagombea wetu wa Urais hawatakuwa na kazi kubwa Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea ...