Habari
Tanzania yashika nafasi ya 6 kwa utawala bora Afrika 2025
Utawala bora unaendelea kuwa kipengele muhimu kinachoamua mwelekeo wa maendeleo, uthabiti wa kiuchumi na mshikamano wa kijamii katika nchi za Afrika. Kwa ...Serikali yapewa siku tano kujibu madai ya Mpina
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma imeipa serikali siku tano kujibu madai yaliyotolewa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina juu ya ...Mahakama yamkuta na hatia mwana-Tiktok kwa kukejeli familia ya Rais Museveni
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu Entebbe nchini Uganda imemkuta na hatia mtumiaji wa Tiktok, Juma Musuuza, maarufu Madubarah, kwa makosa sita, yakiwemo ...Tume ya Uchaguzi yamtaka Mpina asirudishe fomu ya kugombea Urais wa Tanzania
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea barua kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikielekeza kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ...Puma Energy Tanzania Yashauri SOEs Kuboresha Utendaji na Huduma
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma M. Abdallah, aliwasilisha mada kwa Wenyeviti wa Bodi na Wakurugenzi Wakuu wa Taasisi za ...ACT-Wazalendo yagoma Mpina kuondolewa kugombea Urais
ACT-Wazalendo imesema haitafuata maelekezo ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambayo yamebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea Urais wa Tanzania kupitia chama ...









