Habari
Msajili wa Vyama vya Siasa abatilisha uteuzi wa Mpina kugombea Urais ACT Wazalendo
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT ...Ahukumiwa miaka saba jela kwa kuua bila kukusudia
Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka saba jela Shigela Washa Buhimila (32), mkazi wa Tuliza Moyo, Wilaya ya Ulanga, ...Botswana yatangaza hali ya dharura kutokana na uhaba wa dawa
Rais wa Botswana, Duma Boko ametangaza hali ya dharura ya afya ya umma baada ya nchi hiyo kukabiliwa na uhaba wa dawa ...Polisi: Tunachunguza tukio la Dogo Janja kumpiga risasi Bakari
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema linafanya uchunguzi wa tukio la Bakari Halifa Daud (18), mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kujeruhiwa kwa ...Nafasi 42 za Ajira Serikalini
https://portal.ajira.go.tz/vacanciesMashirika ya Umma yatambuliwa kwa ufanisi
Mashirika ya Umma yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2023/24 yamekabidhiwa tuzo maalum na Ofisi ya Msajili wa Hazina katika hafla rasmi ...









