Habari
Serikali: Wananchi milioni 26.7 wamejiandikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema jumla ya wapiga kura 26,769,995 wamejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za ...Gachagua: Nilitakiwa kuuawa kwa sumu kabla hoja ya kuondolewa madarakani
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai kuwa kulikuwa na majaribio mawili ya kumuua kabla ya mashtaka ya kumvua madaraka kuwasilishwa bungeni. ...Watumishi 108 kutoka ofisi ya Gachagua wapewa likizo ya lazima
Serikali imewapa likizo ya lazima watumishi wote 108 walioko katika ofisi ya Naibu Rais wa Kenya aliyeondolewa madarakani, Rigathi Gachagua kuanzia leo ...Mbunge Gambo amuomba Rais Samia kuingilia kati soko la Tanzanite
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la biashara ya madini ya Tanzanite ...Amuua mke baada ya kumuacha kisha na yeye kujiua
Watu wawili ambao walikuwa ni mume na mke, wamefariki dunia baada ya mume aliyetambulika kwa jina la Ally Mwakilembe (45) mkazi wa ...