Habari
Ruto: Nikishindwa uchaguzi nitakwenda nyumbani kulima
Rais William Ruto amesema yuko tayari kukabiliana na wapinzani wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2027. Akizungumza wakati wa ziara yake katika Kaunti ...Dereva bajaji aliyekimbia polisi Ubungo akamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia John Mosha (30), dereva bajaji na mkazi wa Kimara Temboni kwa kosa ...Adaiwa kumuua mwanamke kikatili baada ya kumkataa mwaka 2016
Polisi katika eneo la Bomet Central nchini Kenya wanamshikilia mwanaume mwenye umri wa miaka 28, anayeshukiwa kuhusika katika mauaji ya kikatili ya ...Benki ya Exim Tanzania Yaboresha Uchukuaji Mikopo kwa Watumishi wa Umma Kupitia ‘Utumishi Portal’
Katika hatua ya kimkakati kusaidia wafanyakazi wa serikali kufikia malengo yao ya kifedha, benki ya Exim Tanzania inajivunia kutangaza maboresho katika huduma ...Rais wa Korea Kusini aondolewa rasmi madarakani
Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imethibitisha kuondolewa madarakani kwa Rais Yoon Suk Yeol, ambaye alipigiwa kura ya kuondolewa na wabunge mwezi ...