Habari
Dabi ya Simba na Yanga kuchezwa Septemba 16
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema mashindano ya Ngao ya Jamii yatahusisha mechi moja ya Yanga na Simba itakayochezwa Septemba ...Ethiopia yaweka zuio utoaji wa shahada za udaktari wa heshima, na matumizi ya cheo cha ...
Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imepiga marufuku wapokeaji wa shahada za udaktari wa kutumia cheo cha “Daktari” au “Dr” nje ya taasisi ...Apatikana na hatia ya mauaji ya jirani yake aliyemkuta chini ya kitanda
Mwanaume mmoja huko Nakuru nchini Kenya aitwaye Cyrus Kipng’eno Rono amepatikana na hatia ya mauaji baada ya kumshambulia jirani yake aitwaye Moody ...Miaka 20 jela kwa kosa la shambulio la aibu kwa mtoto wa miaka minne
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Idd Omary Shelugwaza (26), mkulima na mkazi wa Kijiji ...Afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka minne
Mwanaume anayejulikana kwa jina la Kulwa Steven Ibasa (maarufu kama Baba Claud), mwenye umri wa miaka 37 na mkazi wa Nyakato mkoani ...









