Habari
Timu ya Taifa ya Nigeria yasusia mechi ya kufuzu AFCON
Timu ya Taifa ya Nigeria imeamua kutocheza mechi ya kufuzu Mashindano ya AFCON 2025 nchini Libya dhidi ya Mediterranean Knights baada ya ...Nafasi 25 za Ajira Serikalini
POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 6 POST Employer: Halmashauri ya wilaya ya Kilosa More Details 2024-10-14 Login to Apply POST: ASSISTANT LECTURER (ACCOUNTING AND ...Mwanamke akiri kuua mtoto wa miaka 12 Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma (12) mkazi wa kwa ...Tanzania yateuliwa kunufaika na mpango wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia (World Bank Group, zimeitangaza Tanzania kuwa nchi ya pili, baada ya Madagascar ...Mlinzi awafungia wanafunzi 17 kwenye kontena baada ya kuchuma embe changa
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia mlinzi aliyefahamika kwa jina moja la Yusuph (27) kutoka Manispaa ya Mtwara Mikindani kwa tuhuma ya ...Mwanamke ahukumiwa maisha kwa kuwaua wazazi wake na kuishi na miili yao kwa miaka minne
Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Virginia McCullough amefungwa jela maisha baada ya kuwaua wazazi wake wote wawili na kuishi na miili ...