Habari
Yanga: Mchango wa milioni 100 ulitoka GSM Foundation
Klabu ya Yanga imesema mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ulitolewa na taasisi ya GSM chini ya ...Rais Samia aagiza kuongezwa jitihada za kuokoa waliofunikwa mgodini Shinyanga
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na vyombo vya Usalama kupeleka misaada ya haraka na kuongeza jitihada za ...Jamhuri yaiomba Mahakama kuzuia mashahidi kurushwa mubashara
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hadi Agosti 18, 2025, ...CAF yaipiga faini Kenya milioni 127 baada ya mechi na Morocco
Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limepigwa faini ya Dola za Kimarekani 50,000 [TZS milioni 127.8] kwa makosa ya kiusalama katika mechi dhidi ...Mahakama yatupilia mbali maombi ya Lissu ya kupinga mashahidi wa siri
Mahakama Kuu Masijala Ndogo, Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya ...Nafasi 199 za Ajira Serikalini
POST: FINANCE MANAGEMENT OFFICER II – 8 POSTEmployer: Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR)More Details 2025-08-22 Login to Apply POST: AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ...








