Habari
Polisi: Tunachunguza tukio la mtia nia kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana Tarime
Jeshi la Polisi limesema limeanza kufanya uchunguzi tukio la mtia nia wa udiwani kata ya Sirari kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Sinda ...Mwana FA na AY washinda rufaa fidia dhidi ya Tigo
Mahakama ya Rufaa Tanzania imewapa ushindi wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) na Ambwene Yesaya (AY), katika ...Utafiti: Watoto wanaotazama televisheni na simu kwa muda mrefu hatarini kupata magonjwa ya moyo
Watoto wanaotumia muda mwingi wakitazama skrini kama simu au televisheni wapo kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa ya moyo, matatizo ya metaboli ...Wasifu wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Hayati Job Ndugai
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefariki dunia Agosti 06, 2025 hospitalini wakati akipatiwa matibabu. Kwa ...Mpina na wengine wapendekezwa kugombea urais ACT Wazalendo, Semu ajitoa
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imewapendekeza wanachama wake Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina kuwania kugombea nafasi ya urais wa Tanzania. ...









