Habari
Rais Samia amwondolea Polepole hadhi ya ubalozi
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Hamphrey Polepole na kumwondolea hadhi ya ubalozi. Wizara ya ...Ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti watoto, adai alikosa pesa za kuwalipa ‘dada poa’
Mahakama ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha maisha jela Isacka Masheku (33), mkulima na mkazi wa kijiji cha Malya, ...Polisi: Tunachunguza gari la mgombea udiwani Njombe kuchomwa moto
Gari la mgombea udiwani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Igwachanya, Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, Anthony Mahwata, limechomwa moto usiku ...Kituo cha Biashara Ubungo kuifanya Tanzania kitovu cha biashara na usafirishaji Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema uzinduzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo, Dar es Salaam ni hatua ...Polisi: Tumemkamata Ebitoke akiwa kwenye hali ya kuchanganyikiwa
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limesema limemkamata Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu Ebitoke katika fukwe za Msanga Mkuu, Mjini Mtwara akiwa katika ...Polisi yaua majambazi watatu Kigoma
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limesema watu watatu waliokuwa majambazi wameuawa baada ya majibizano ya risasi na Askari Polisi wakati wakifanya jaribio ...









