Habari
Boeing yashitakiwa baada ya mlango wa ndege kufunguka angani
Wahudumu wanne wa ndege waliokuwa ndani ya ndege ya Alaska Airlines aina ya Boeing 737 MAX 9 ambayo ilipata tatizo la mlango ...Adaiwa kumuua Mshaki baada ya kumfumania na mkewe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka Bagandosa Silas Menelo kwa tuhuma za mauaji ya Elias Martine Mshaki (23), mkazi wa kijiji ...Wazalishaji wa Pombe Walalamikia Kuenea kwa Pombe Haramu Nchini
Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika zenye matumizi makubwa zaidi ya pombe haramu, hali inayoleta hatari kubwa kwa afya ya umma, ...Tanzania kuwa miongoni mwa wazalishaji 10 wakubwa wa urani duniani
Rais Samia Suluhu amesema kukamilika kwa kiwanda cha uchenjuaji wa madini ya urani kilichopo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma, ni hatua ya kimkakati ...Serikali: Viwango vya unyonyeshaji maziwa ya mama kwa watoto nchini vimeongezeka
Serikali imesema viwango vya unyonyeshaji wa watoto nchini vimeendelea kuimarika ambapo asilimia ya watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya mama pekee imeongezeka kutoka asilimia ...Watu 39 wa kundi la Kanga Moja washikiliwa kwa kukiuka maadili Zanzibar
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linawashikilia watu 39 kwa tuhuma za kufanya fujo na kusababisha usumbufu kwa jamii katika maeneo ...









