Habari
Nchi 10 za Afrika zenye deni kubwa IMF kufikia Juni 2025
Idadi kubwa ya mataifa ya Afrika yanajikuta yakikabiliwa na hali ngumu ya kifedha kutokana na mzigo mkubwa wa madeni wanayodaiwa na Shirika ...Faida za kutulia nyumbani siku za wikendi
Katika ulimwengu wa sasa uliojaa pilikapilika, watu wengi hutumia wikendi kama fursa ya kutoka kwa ajili ya burudani, matembezi au shughuli za ...Polisi: Taarifa ya kuonekana kwa viungo vya binadamu Mpiji Magoe ni ya zamani
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatoa hofu wananchi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mabaki ...Ruto: Muda wangu ukifika nitaondoka
Rais wa Kenya, William Ruto ameshangazwa na watu kumtaka aondoke madarakani mapema, akisema kuwa hata yeye atamaliza muda wake na kuondoka kama ...Bilioni 67.5 kuimarisha sekta ya elimu Sekondari Mkoa wa Lindi na Pwani
Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP katika Mkoa wa Lindi imetoa Shilingi Bilioni 31.716 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ...Jeshi la Polisi Tanga lakamata boti yenye mirungi kutoka Kenya
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kukamata boti iliyokuwa ikisafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya kupitia Bahari ...









