Habari
NI BALAA! VODACOM YAJA NA HUDUMA ZA MATENGENEZO YA SIMU KWA WATEJA WAKE
Vodacom Tanzania imekuja na huduma mpya kwa wateja wake kwa kuzindua vituo vya huduma za matengenezo ya simu kwa ushirikiano na watengenezaji ...Jeshi la Polisi: Tuna mamlaka ya kuzuia maandamano ikiwa yanahatarisha amani
Jeshi la Polisi limesema litaendelea kuchukua hatua stahiki kwa mtu, au kikundi cha watu, kiongozi wa chama cha siasa au wafuasi wao ...Muhimbili: Gharama za upandikizaji mimba ni milioni 14
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam imesema gharama za upandikazi mimba ni Shilingi milioni 14. Akizungumza na Habari Leo, ...Watatu washikiliwa kwa tuhuma za kupanga mapinduzi Benin
Watatu mashuhuri akiwemo Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Benin wamekamatwa kwa tuhuma za kupanga jaribio la mapinduzi nchini humo. ...Adaiwa kumuua mama yake wakigombea mali za baba yake
Jeshi la Polisi limesema mwanamke aliyefahamika kwa jina la Adela Dominick (74) ameuawa kwa kupigwa na kitu butu kichwani kisha kunyongwa kwa ...Mabara 5 yaliyoongoza zaidi kutembelea Zanzibar mwezi Agosti
Zanzibar ni mojawapo ya vivutio vikuu vya utalii barani Afrika na duniani. Imebarikiwa na fukwe za kuvutia, maji safi ya bluu, historia ...