Habari
Tanzania yashinda nafasi mbili Umoja wa Afrika
Tanzania imeshinda nafasi mbili zilizokuwa zikigombewa katika uchaguzi wa Taasisi za Umoja wa Afrika ambazo ni nafasi ya Mjumbe wa Tume ya ...Bunge lapitisha sheria mpya, TISEZA kuchukua nafasi ya TIC na EPZA kuboresha uwekezaji
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Februari 13, 2025, limepitisha Muswada wa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi, ...Rais wa Liberia awasimamisha kazi maafisa 450 wa serikali kwa kutotangaza mali zao
Rais wa Liberia, Joseph Boakai amewasimamisha kazi zaidi ya maafisa 450 wa serikali akiwemo waziri anayesimamia bajeti pamoja na mabalozi, kwa kushindwa ...Aliyeiba bia za mama yake ajinyonga rumande baada ya mama yake kukataa kumfutia kesi
Polisi katika mji wa Eldoret nchini Kenya wameanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha Collins Cheruiyot, kijana mwenye umri wa miaka 24, aliyekuwa akikabiliwa ...