Habari
Bibi na familia yake wahukumiwa jela kwa kusambaza dawa za kulevya
Mwanamke mwenye umri wa miaka 65 amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kuendesha mtandao wa usambazaji wa dawa za kulevya nchini ...Rais atoa Bilioni 98.893 kuimarisha elimu ya Sekondari Mbeya na Mtwara
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98.893 kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu katika mkoa wa Mbeya na ...Bodi ya Ithibati yawafungia watangazaji waliomhoji Dogo Paten
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewapiga marufuku watangazaji wanne wa kituo cha redio cha Mjini FM kujihusisha na masuala ...Rais Samia atoa bilioni 19.6 ujenzi wa miradi ya elimu mkoani Njombe
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora ...Baba akamatwa kwa kumpa mimba binti yake
Jeshi la Polisi katika Jimbo la Oyo nchini Nigeria limemkamata mwanaume aitwaye Kayode Oluwaseunfunmi kwa kosa la kumbaka na kumpa mimba binti ...Simba yapigwa faini mchezo dhidi ya Yanga
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) imeitoza faini ya TZS milioni 1 Simba SC kwa ...









