Habari
Ruto: Wapinzani hawana mipango ya ajira, wanachochea vurugu
Rais wa Kenya, William Ruto amewataka wapinzani wake kueleza mipango yao mbadala ya kutengeneza ajira kwa vijana badala ya kuwachochea vijana kufanya ...Mwalimu ajinyonga Tanga chanzo chadaiwa wivu wa mapenzi
Mwalimu Enock Johnson Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilaya ya Muheza mkoani Tanga amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kukutwa ...Ishara 10 zinazoonesha ni muda wa kuacha kazi
Kila binadamu anahitaji kufanya kazi ili kuendesha maisha yake na maisha ya watu wanaomtegemea. Ikiwa kazi unayoifanya inakwenda kinyume na wewe, pengine ...Akamatwa kwa kuwashawishi kingono na kuwatishia watawa wa Kibudha
Polisi nchini Thailand wamemkamata mwanamke aitwaye Wilawan Emsawat kwa tuhuma za kuwahadaa watawa wa dini ya Kibudha ili kuingia nao katika uhusiano ...Waziri wa kazi Cuba ajiuzulu baada ya kuwakashifu ombaomba
Waziri wa Kazi na Hifadhi ya Jamii wa Cuba, Marta Elena Feitó-Cabrera, amelazimika kujiuzulu baada ya kutoa kauli tata katika kikao cha ...Serikali yatoa bilioni 5.7 ujenzi wa shule mbili Kigoma
Serikali Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi ...









