Habari
Rais Samia akemea kauli za kibaguzi zilizotolewa na baadhi ya balozi za kigeni
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa Tanzania ni nchi inayojitegemea na yenye hadhi, na hivyo haiwezi kuamriwa na watu wa nje ...Vodacom Tanzania yamkaribisha Nwanko Kanu ‘Twende Butiama’
Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation imemkaribisha nchini Tanzania, gwiji wa Soka Barani Afrika kutoka nchini Nigeria, Nwankwo Kanu, katika ziara ya mbio ...Mwanaume aliyetuma wanaume 50 kumbaka mke wake akiri mashitaka
Mwanaume mmoja nchini Ufaransa anayeshtakiwa kwa kumuwekea dawa za kulevya mke wake na kuwaruhusu wanaume takribani 50 kumdhulumu kingono akiwa amelala katika ...Waziri Mkuu atoa rai kwa viongozi wa dini kusimamia maadili ili kupunguza vitendo viovu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla wahakikishe wanasimamia na kuimarisha maadili mema kwa jamii ...Nafasi 269 za Ajira Serikalini
POST: TUTORIAL ASSISTANT (FINANCIAL ACCOUNTING)-UDBS – 1 POST Employer: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) More Details 2024-09-22 Login to Apply POST: CONSERVATION RANGER ...