Habari
Watoto wateketea kwa moto wakati wazazi wakiwa kwenye maombi ya usiku
Kijiji cha Ramula, katika eneo la Gwassi Magharibi, Kaunti Ndogo ya Suba Kusini nchini Kenya kimekumbwa na huzuni na simanzi baada ya ...Mwanafunzi ajichoma kisu baada ya kuhojiwa kuiba fedha kwa jirani
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Mpakani, Ufunuo Mwamlima (13), mkazi wa Tunduma mkoani Songwe, amejiua kwa kujichoma kisu ...Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya CHADEMA
Jeshi la Polisi limepiga marufuku na kutoa onyo kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kuendelea kuhamasisha wananchi kujihusisha ...IGP Wambura: Hali ya usalama nchini ni shwari
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amesema hali ya usalama nchini ni shwari kutokana na kazi nzuri inayofanywa na ...Uchunguzi kufanyika mjamzito aliyefariki kwa kukosa fedha za kuweka mafuta gari la wagonjwa
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza tukio la mama mjamzito aliyefariki ...Wawili wauawa baada ya wananchi kuvamia kituo cha polisi
Watu wawili wamefariki dunia baada ya wananchi takriban 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita ...