Habari
Mchungaji anayesakwa na FBI kwa biashara ya ngono kwa watoto akamatwa
Mchungaji wa Ufilipino, Apollo Quiboloy mwenye ushawishi mkubwa na aliyekuwa akisakwa nchini Ufilipino na Marekani kwa tuhuma za biashara ya ngono kwa ...Rais Samia: Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili
Kufuatia mauaji ya kikatili yaliyotokea kwa aliyekuwa Mjumbe wa Sekretariati ya CHADEMA, Ally Mohammed Kibao, Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza vyombo vya ...Polisi kuchunguza kupotea kwa Mjumbe wa Sektetarieti CHADEMA
Jeshi la Polisi Tanzania limesema linafuatilia taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza kuwa Ally Mohamed Kibao alichukuliwa na watu wasiojulikana akiwa ...Fahamu kazi ya Tufaa la Adam inayoonekana zaidi kwa wanaume
Tufaa la Adam (Adam’s Apple), nundu inayoonekana shingoni hasa kwa wanaume, ambayo kitaalamu ni prominentia laryngea, kazi yake kuu ni kulinda kisanduku ...Utafiti: 5.8% wanaotumia dawa za VVU wana tatizo la usugu
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umeonesha asilimia 5.8 ya Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi ...Nafasi 70 za Ajira Serikalini
POST: RESEARCH OFFICER GRADE II (FORESTRY) – 8 POST Employer: Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) More Details 2024-09-13 Login to Apply POST: RESEARCH ...