Habari
Waliokosa GPA ya 4.4 wazuiwa kuhudhuria mahafali
Chuo Kikuu cha Ibadan nchini Nigeria kimewazuia wahitimu waliopata ufaulu (GPA) chini ya daraja la kwanza kuhudhuria sherehe za mahafali ya kuitimu ...Machinga kutumia majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya biashara
Serikali inakusudia kutoa majengo matatu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yaliyopo Mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni karibu na Soko Kuu ...Spika Ndugai awashangaa wastaafu wanaokaa mijini
Akitambulisha wageni bungeni leo, Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda ni mfano mzuri ...Serikali yawataka Watanzania kuongeza ulaji wa nyama
Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) imetoa wito kwa viongozi wa mikoa nchini kujenga utaratibu wa kufanya matamasha ya ulaji ...Aina 6 za vyakula vinavyosababisha Saratani unavyokula kila siku
Mwanadamu anahitaji chakula ili kuupa mwili nguvu aweze kuishi na kutekeleza majukumu yake ya kila siku. Lakini katika mchakato huo, wakati mwingine ...Rais Samia ahutubia mkutano ulioitishwa na Waziri Mkuu wa Uingereza
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehutubia moja ya mikutano maalumu uliotishwa na mawaziri wakuu wa Uingereza na Italia pembezoni mwa Mkutano ...