Habari
Rais Samia aja na mbinu mpya kufadhili miradi Serikali za Mitaa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Mitaji ya Maendeleo (UNCDF), ...Prof. Lipumba amdai IGP Sirro saa yake
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro kuitafuta saa yake ...Agizo la RC Makalla kwa Machinga wanaorudi barabarani
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametoa onyo kwa Wafanyabiashara wanaoendelea kufanya biashara pembezoni mwa Barabara ya Airport licha ...Masharti ya polisi kwa vijana waliochaguliwa kujiunga Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi limewataka vijana wote waliochaguliwa kujiunga na jeshi hilo kuripoti Shule ya Polisi Moshi kuanzia Oktoba 23 mwaka huu wakiwa ...Serikali: Kupanda kwa bei ya nyama ni fursa kwa wafugaji
Serikali imesema malalamiko yaliyojitokeza hivi karibuni ya kupanda kwa bei ya nyama nchini yanaashiria ukuaji wa sekta hiyo ambapo wafugaji wameshauriwa kuwa ...Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye kukagua ujenzi wa SGR, Dar es Salaam
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye anatarajiwa kutembelea Bandari ya Dar es Salaam na kukagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unaoendelea ...