Habari
Rais Samia: Msiseme kwamba mama anazunguka sana
Rais Samia Suluhu Hassan amesemakwamba ziara zote anazofanya zinalenga kufungua fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania. Akizungumza na wakazi wa ...Majibu wa Rais Samia juu ya Moshi kuwa Jiji
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali inaendelea kupitia vigezo vinavyotakiwa kufuatwa ili kuufanya Mji wa Moshi kuwa Jiji kwani bado haijafikia. ...Agizo la Polisi kwa wapenzi wanaotumiana picha za utupu
Jeshi la Polisi limewataka wasichana na wanawake kujitahadharisha na wapenzi au marafiki zao wanaowadanganya wajipige picha za utupu kisha wawatumie. Taarifa ya ...Serikali kuwawezesha vijana wabunifu (startups na techhubs)
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali inatambua uwepo wa vijana wajasiriamali na wabunifu walioanzisha kampuni mbalimbali zikiwemo za teknolojia ...Historia: Simulizi fupi ya Brigedia Nyirenda walivyopandisha Mwenge wa Uhuru Mlima Kilimanjaro 1961
Mwaka 2021 Kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa kinafanyika mkoani Geita ambapo kinakwenda sambamba na maadhimisho ya Mika 22 ya kifo cha ...Mambo yanayosababisha saratani ya matiti na namna ya kujikinga
Mwezi wa Uhamasishaji wa Saratani ya Matiti, unaadhimishwa kote ulimwenguni ifikapo kila Oktoba, maadhimisho hayo hulenga kusaidia kuongeza umakini na msaada wa ...