Habari
Taarifa ya serikali kuhusu ajira 260 za wahandisi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amesema katika kukabiliana na upungufu wa wahandisi nchini, ofisi yake ...Dereva Bodaboda arejesha milioni 115 alizookota
Dereva bodaboda nchini Liberia amezua gumzo baada ya kupata na kurejesha $50,000 (TZS milioni 115) za mfanyabiashara mwanamke zilizopotea katika Jimbo la ...RC Mjema ataja vipaumbele 3 vya kwanza Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sofia Mjema amesema moja ya vipaumbele vyake ni kuanza na kampeni ya kuzuia mimba na ndoa za ...Mali za mtoto wa Rais zauzwa kununua chanjo ya UVIKO19
Wizara ya Sheria ya Marekani imesema kuwa fedha zilizopatikana kwa kuuza mali za Teodoro Nguema Obiang Mangue, Makamu wa Rais wa Equatorial ...Soma hapa taarifa ya TAMISEMI kuhusu mgao wa madarasa kwa shule za sekondari katika mikoa ...
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu leo ameweka wazi mkakati utakaotumia na serikali katika ujenzi wa vyumba vya madarasa 15,000 (12,000 kwa shule ...