Habari
Rais Samia akutana na bosi wa Barrick Gold, wazungumzia kampuni ya Twiga
Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow amemhakikishia Rais Samia Suluhu Hassan Samia Barrick Gold itaendelea kushirikiana na Serikali ...Rais Samia azungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Julai 6, 2021 amezungumza kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, ...Wasifu wa CDF Jenerali Mabeyo ndani ya JWTZ
Jenerali Venance Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi wa nane kuliongoza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu alipoteuliwa Februari 6, 2017 ...Wananchi watakiwa kuhakiki usajili laini za simu
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa rai kwa wananchi kuendelea kufanya uhakiki wa laini za simu kwa ...Ripoti ya CAG yabaini madudu fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ...Jafo: Wamiliki bar, vilabu vinavyopiga kelele jela miezi 6 na kufungiwa biashara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe na burudani kuhakikisha ...