Habari
Trump asema amepata mnunuzi wa TikTok
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema amepata wa kuinunua kampuni ya TikTok. Akizungumza kwenye mahojiano na Fox News, Trump amesema kuwa ataweka ...Nafasi 167 za Ajira Serikalini
POST: SCANNER OPERATOR II – 5 POSTEmployer: Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)More Details 2025-07-09 Login to Apply POST: TUTORIAL ASSISTANT (ACCOUNTING) – 1 POSTEmployer: Chuo ...Rais Ruto alaani walioshambulia polisi wakati wa maandamano
Rais wa Kenya, William Ruto amelaani mashambulizi dhidi ya polisi yaliyotokea wakati wa maandamano ya kizazi cha Gen-Z siku ya Jumatano, akisema ...Mwanafunzi wa mwaka wa mwisho ajiua baada ya kusimamishwa chuo
Simanzi na huzuni zimetanda katika Chuo Kikuu cha Babcock nchini Nigeria kufuatia kifo cha Joshua Lawson (20), mwanafunzi wa mwaka wa mwisho ...Rais Samia aliagiza Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya watu kupotea
Rais Samia Suluhu Hasaan ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea pamoja na kutafuta mwarobaini kukomesha ...Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Afrika Kusini ashitakiwa kwa ufisadi
Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai nchini Afrika Kusini, Luteni Jenerali Dumisani Khumalo amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za udanganyifu ...









