Habari
Akauti 25 za ku-follow Twitter Tanzania (Oktoba – Disemba 2021)
Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinaonesha kuwa idadi ya watumiaji wa huduma za intaneti nchini Tanzania imeongezeka kutoka milioni 26.8 ...Mbinu za kisayansi zilizotumika kusambaza mabango ya Imani, Upendo na Miujiza
Ni wazi kuwa kwa asilimia kubwa ya wakazi wa Dar es Salaam ama wameona mitaani au kwenye mitandao ya kijamii namna mabango ...Waziri Gwajima aagiza madaktari wanaopotosha kuhusu Corona wawajibishwe
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari Tanzania (MAT) kuwachukulia hatua zikiwemo ...Waliopuuza agizo la Rais Samia kushushwa vyeo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amewaelekeza watendaji wa ofisi yake kufanya ...Mahakama yakataa ombi la mawakili wa Sabaya
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha, imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa ...