Habari
Bosi Tigo aandika barua polisi kuomba pasi yake ya kusafiria
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tigo Tanzania anayeelekea kumaliza muda wake, Simon Karikari ameliandikia barua Jeshi la Polisi akiliomba kumrudishia pasi yake ...Tangazo la nafasi za kazi 700 kutoka Jeshi la Magereza Tanzania
#TANGAZOLAAJIRAMPYA – NAFASI ZA AJIRA 700 ZA KUJIUNGA NA JESHI LA MAGEREZA KWA MWAKA 2021 pic.twitter.com/Vkj04OxdyP — MagerezaTanzania (@MagerezaT) September 27, 2021Fahamu undani wa kifo cha askari polisi shabiki wa Yanga
Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Mpwapwa mkoani Dodoma, Rashid Mohamed Juma ambaye ni shabiki wa Yanga alifariki dunia mwishoni mwa wili ...Mambo ya kufahamu kuhusu chanjo ya Sinopharm inayoletwa nchini kutoka China
Septemba 2, 2021 Shirika la Afya Duniani (WHO) liliidhinisha matumizi ya muda ya chanjo dhidi ya UVIKO-19 ya Sinopharm kutoka China. Serikali ...Rais Samia aifumua TANESCO, atumbua na kuteua wapya
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo:- Amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO. Kabla ya ...Orodha ya majina ya vijana 1,475 walioitwa kwenye usaili Jeshi la Polisi
Kuweza kuona kurasa zinazofuata, bonyeza alama ya mshale iliyo mwishoni mwa ukurasa (kushoto) inayoelekea nchini.