Habari
Haniu ateuliwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaffar Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu). Kabla ya uteuzi alikuwa Mtendaji Mkuu wa vyombo ...Tanzania ina wanawake wengi zaidi ya wanaume
Tanzania ina idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume ambapo hadi mwaka jana kulikuwa na wanawake zaidi ya milioni 29.4 ambao ni asilimia ...Panya mtegua mabomu wa Tanzania astaafu na miaka 7
Magawa, panya kutoka Tanzania ambaye kwa miaka amekuwa akitumia kutegua mabomu/vilipuzi ya ardhini nchini Cambodia amestaafu akiwa na miaka 7. Magawa ambaye ...Mwanamuziki Ismail Michuzi afariki dunia
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ismail Issa Michuzi (61) amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar ...TAKUKURU: Tuhuma tatu zinazomkabili Manji
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kuwa inamshikilia mfanyabishara Yusuf Manji kwa mahojiano kuhusu tuhuma zinazomkabili. Mkurugenzi Mkuu wa ...