Habari
Mita za maji za malipo ya kabla kufungwa, wateja kuhamishiana uniti za maji
Wizara ya Maji na Umwagiliaji inakusudia kuanza kufunga mita za maji za malipo ya kabla kwa ajili ya majaribio kati ya Julai ...Rais Samia kumaliza changamoto mpangilio wa Machinga Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan leo amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembelea soko la Kariakoo mkoani Dar es Salaam. Amewatembelea wafanyabiashara wanaouza bidhaa ...Namna viongozi wa Afrika wanavyowaandaa watoto wao kuwa Rais
Siasa za Afrika zimechagizwa kwa kiasi kikubwa na mfungamano wa kifamilia na hii inadhihirika zaidi namna viongozi waliopo madarakani wanavyowaandaa watoto wao ...Mabadiliko Makamanda wa Polisi: Muroto astaafu, Muliro ahamishiwa Dar
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi, ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi. Katika mabadiliko ...Rais Samia atengua uteuzi wa Azza Hamad
Rais Samia Suluhu Hassa ametengua uteuzi wa Azza Hilal Hamad aliyeteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu. Bi. Azza atapangiwa majukumu ...