Habari
Mawaziri, wabunge kujifunza kucheza gofu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ameahidi kuwashawishi mawaziri na wabunge kujifunza mchezo wa gofu kufuatia ombi la Balozi wa Ufaransa ...Rais Samia apangua safu ya makatibu tawala wa mikoa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa baadhi ya Makatibu Tawala wa Mikoa, kuwahamisha baadhi na ...Watendaji wizara ya fedha wasimamishwa kwa kujilipa posho kwa kutekeleza majukumu yao
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango ili ...Sendiga aanza na wakwepa kodi mkoani Iringa
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ameigaiza Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Iringa kuwasilisha ofisini kwake majina ya wafanyabishara ...Serikali kurejesha matumizi ya kadi kwa abiria mabasi ya Mwendokasi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ameagiza kuanzia Julai Mosi mwaka huu, ...Thamani ya mikataba ya matangazo ya mpira katika nchi za Afrika
Mei 25, 2021, mpira wa miguu nchini Tanzania ilipiga hatua nyingine baada ya Azam Media Limited na Shirikisho la Mpira wa Miguu ...