Habari
Mshitakiwa wa 3 kesi ya Rugemalira arejeshwa rumande
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Septemba 16, 2021 imemwachia huru Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa ...Rugemalira aachiwa huru baada ya kesi kufutwa
Baada ya kusota mahabusu kwa miaka minne, Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa kampuni ya IPTL, James Rugemalira ameachiwa ...Polisi wadaiwa kuzuia kuingia na simu kesi Mbowe
Wakati upande wa Jamhuri ukiendelea kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu, mvutano umeibuka katika geti la kuingia ...Sudan Kusini yaomba walimu wa kufundisha Kiswahili
Sudan Kusini imeomba kutumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha mizigo yake na pia kununua chakula kutoka Tanzania. Hayo yameelezwa na Mjumbe ...Kikwete: Rais Samia anaongoza nchi vizuri
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amewasihi Watanzania kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza wajibu wake kwa ufanisi, ...Sensa itakavyowezesha ukusanyaji tozo za majengo
Tanzania inatarajia kufanya sensa ya watu na makazi Agosti 2022, ambapo miongoni mwa manufaa ya ni kufahamu idadi na aina ya nyumba ...