Habari
Rais Samia aikumbusha jamii kutomsahau mtoto wa kiume katika malezi
Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza wazazi na walezi kuhakikisha kuwa watoto wanalelewa katika mazingira ya heshima, amani na upendo ili kuijenga jamii ...Watatu wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua Selemani
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa Ahamadi Madi, Juma Malasi na Amiry Miniyama kwa kosa la kumuua Selemani Mohamed ...Jeshi la Polisi: CHADEMA imepanga kuhamasisha vijana kuvamia vituo vya Polisi
Kufuatia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kueleza kuwa hakuna uthibitisho unaoonesha kuwa viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) ...Mganga wa kienyeji apatikana na mafuvu 24 ya binadamu nchini Uganda
Mwanaume mmoja nchini Uganda anayetambulika kwa jina la Ddamulira Godfrey anashikiliwa na polisi baada ya kupatikana na mafuvu 24 ya vichwa vya ...Rais Samia aelekeza mashirika ya umma kufanya mabadiliko ya kiutendaji
Rais Samia Suluhu amewataka Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kutoa maoni yao ya namna wanavyotamani taasisi wanazoziongoza ...