Habari
Mwili wa Rais Mugabe watakiwa kufukuliwa
Grace Mugabe, Mke wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele ya mahakama ya kitamaduni kufuatia madai ya kukiuka kanuni ...Dar: Wafanyabiashara waliojenga vibanda katikati ya jiji watakiwa kuviondoa
Halamshauri ya Jiji la Dar es salaam imewataka wafanyabiashara waliojenga vibanda katikati ya jiji kuviondoa. Hayo yamejiri leo jijini Dar es salaam ...Gwajima: Tanzania haiwezi kuwa jaribio la chanjo ya Corona
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ameitaka serikali kujiridhisha na usalama wa chanjo za COVID19 kabla ya kuanza kutumiwa na Watanzania. Gwajima amesema ...Rais Samia afanya uteuzi wa Majaji 28
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani 7, amemuongezea muda Jaji ...Mashabiki Simba vs Yanga kurudishiwa tiketi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameagiza mashabiki 43,947 waliokata tiketi kwenye mchezo wa Simba SC na Yanga SC ...SUA kuwafundisha panya kutambua virusi vya Corona
Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wamesema kuna uwezekano mkubwa wa panya wakatumika kwenye kutambua maambukizi ya virusi vya ...