Habari
Majaliwa ataka wizara ieleze hatima ya waliolipa viingilio Simba vs Yanga
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka kuhusu lini mchezo wa Simba SC na ...Serikali yatangaza ajira 6,900 za ualimu
Serikali imetangaza nafasi za ajira za walimu 6,949 wa Shule za Msingi na Sekondari zinazolenga kujaza nafasi wazi za watumishi waliokoma utumishi ...Simba: Walichofanya Yanga ni usaliti kwa nchi na serikali
Klabu ya Simba imeeleza kusikitishwa na uamuzi wa wapinzani wao Klabu ya Yanga kuondoa timu uwanjani, na kwamba kitendo hicho ni sawa ...Rais Samia aagiza stahiki za Hayati Dkt. Magufuli kutimizwa
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa kuanza ...Daktari jela miaka 200 kwa kukutwa na makosa 60
Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe imemhukumu aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo, Semeni Mswima kifungo cha miaka 200 jela ...