Habari
Sababu za Tanzania kuifanya bangi kosa la jinai
Bunge la Tanzania jana limepitisha muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali ikiwemo kufanya kuwa kosa la jinai kitendo cha kukutwa na au ...Msajili wa vyama vya siasa akanusha kuzuia mikutano ya ndani
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kanusha taarifa zilizotolewa kwamba ametoa amri ya kusitishwa kwa mikutano ya ...Mfahamu Kanali Doumbouya, kiongozi wa mapinduzi Guinea
Dunia inafahamu kuwa Rais wa Guinea, Alpha Condé amepinduliwa na jeshi kwa kile walichoeleza kuwa ni hali mbaya ya maisha yaliyoghubikwa na ...Mbagala: Mahabusu wampiga askari na kutoroka
Zaidi ya mahabusu 20 wametoroka na kukimbilia kusikojulikana kutoka kwenye kituo cha Polisi cha Maturubai mkoani Dar es Salaam walikokuwa wanashikiliwa baada ...Rais Samia aja na mkakati wa kuitangaza Tanzanite
Katika hatua ya kuhakikisha kuwa wananchi na Taifa kwa ujumla wananufaika na rasilimali zilizopo, serikali imekuja na mkakati wa kuyatangaza zaidi madini ...Aliyefumua kidonda cha mgonjwa kwa kushindwa kulipia asimamishwa kazi
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Wizara ya TAMISEMI zimefanikiwa kumpata mhudumu wa afya aliyetoa nyuzi kwenye ...