Habari
Rais Samia alifumua Shirika la Posta
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi watatu wa Shirika la Posta Tanzaniakuanzia Aprili 30, 2021. Kwanza, ametengua uteuzi wa Mwenyekiti ...Rais Obasanjo atoa pole kwa vifo vya Rais Mkapa na Dkt. Magufuli
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Chamwino mkoani ...Corona yakwamisha nyongeza ya mishahara
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa ameshindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama wengi walivyotarajia kutokana na athari za #COVID19, ugonjwa ...Vijana wa JKT warejeshwa jeshini kwa masharti
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge, amewarejesha katika mafunzo vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa kujitolea kwa ...Wizara ya Afya yawataka wananchi kuvaa barakoa inapolazimika
Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahahdari dhidi ya COVID19 ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa pale inapolazimika, kutokuwa na hofu ...Dkt. Hosea: Mungu alitaka nigombee Urais TLS
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dkt. Edward Hosea amesema kuwa anaamini Mungu alimtaka kugombea nafasi hiyo ili aweze kukivusha chama ...