Habari
Wakamatwa wakidaiwa kuuza mishikaki ya nyama ya Mbwa Msamvu
Waswali husema, ukimchungaza sana bata hutamla, lakini wakati mwingine ni heri uchungeze ili ujue unachokula ni nini. Watu watatu wamekamatwa baada ya ...Maeneo 12 ambayo hutakiwi ku-overtake gari jingine
1) DARAJANI: Epuka kupita gari jingine kwenye daraja, kwani linakubana unakuwa huna sehemu nyingine ya kuchepukia zaidi ya kutumbukia mtoni endapo gari ...Rais Samia asamehe wafungwa 5,001
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,001 waliokuwa wakikabiliwa na adhabu ya vifungo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wa ...Waziri Aweso awasweka rumande vigogo watano Mwanza
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kuwaweka mahabusu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mjini Mwanza (MWAWASA), Meneja ...Wakili wa serikali akamatwa kwa tuhuma ya rushwa
TAKUKURU Mkoa wa Manyara inamshikiliwa Mwendesha Mashitaka wa mkoa huo, Mutalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TZS milioni ...Kimbunga Jobo chapungua kasi ghafla
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imesema kuwa Kimbunga Jobo kipo umbali wa 200km kutoka Kisiwa cha Mafia na kwamba kimepungua kasi ...