Habari
Akamatwa kwa madai ya kuua watu wawili Kigamboni
Jeshi la Polisi Kanda Maalim Dar es Salaam linamshikilia Mohamed Jumaa (37), mkazi wa Kariakoo kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ...Wachungaji 17 wa KKKT wafukuzwa kazi kwa uasi
Katika hali isiyo ya kawaida wachungaji 17 wa Kanisa la Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde wamefukuzwa kazi ...Vyombo vya habari kuwalipa wasanii kuanzia Desemba
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema kanuni zinazohusu mirabaha kwa kazi ya sanaa sio ...Mbowe adaiwa kutaka kutumia wanajeshi wastaafu kuchukua dola
Wakili wa utetezi katika kesi ya Ugaidi inayowakabili Freeman Mbowe na wenzake, Peter Kibatala amesema watakuwa na mashahidi wengi akiwemo Mkuu wa ...Rais Samia, viongozi wa CCM kuhudhuria uapisho wa Rais wa Zambia
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ataondoka nchini kesho Agosti 24, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule ...Chanjo na kodi vyawafikisha Askofu Gwajima na Silaa kamati ya maadili
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameamuru wabunge Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga) kupelekwa mbele ya Kamati ya Haki, ...