Habari
NEC yataka wanaopita bila kupingwa wapigiwe kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imependekeza wagombea ubunge na udiwani wanaopita bila kupingwa katika chaguzi wapigiwe kura. Pendekezo hilo limetolewa na ...Ufafanuzi wa TRA ulipaji kodi ya majengo (kwa mita za umeme) kwa wapangaji
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa kodi ya majengo kwa njia ya ununuzi wa umeme ambayo itaanza kutumika Agosti 20, 2021 ...Rais Samia: Lengo ni wananchi wote wachanjwe
Akizungumzia chanjo ya UVIKO-19 katika Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ...Prof Janabi: Wasiochanjwa hatarini zaidi kuganda damu wakiugua
Wakati baadhi ya watu wakidai kuwa hawataki kuchoma chanjo ya UVIKO-19 kwa hofu kuwa watapata tatizo la damu kuganda, Mkurugenzi Mtendaji wa ...Mwekezaji wa Misri aahidi kuleta wawekezaji 50 nchini
Rais na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Elsewedy Electric kutoka nchini Misri, Mhandisi Ahmed El Sewedy ameahidi kuwa katika kipindi cha miaka ...