Habari
Usafiri wakwamisha Mbowe kufikishwa mahakamani
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri ...Mtanzania ateuliwa kuongoza Benki ya Dunia Cambodia
Benki ya Dunia (WB) imemteua Mtanzania, Maryam Salim kuwa mwakilishi wa benki hiyo (Country Manager) nchini Cambodia. Bi. Salim anachukua nafasi ya ...Mkurugenzi Uhuru Media, wasaidizi wake wasimamishwa kazi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewasimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Media, Ernest Sungura, Mhariri Mtendaji, na Msimamizi wa Gazeti, Rashid Zahoro kumnukuu ...Majaji na Mahakimu wanawake wampongeza Rais kuteua wanawake
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA), Ikulu Chamwino mkoani ...Chama cha Wanasheria Tanganyika chaahidi ushirikiano kwa serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ambapo Rais wa chama hicho, ...Gazeti la Uhuru lamlisha maneno Samia urais 2025
Chama kinachotawala nchini Tanzania (Chama cha Mapinduzi-CCM) kimekanusha taarifa ya gazeti linalomilikiwa na chama hizo, la Uhuru yenye kichwa cha habari “Sina ...