Habari
Rais Samia ateua Mkaguzi wa Ndani, Mhasibu wa serikali na Msajili wa Hazina
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 6, 2021 amefanya uteuzi wa viongozi wafuatao:- 1. Amemteua Athumani Seleman Mbuttuka kuwa Mkaguzi ...Muuguzi Arusha asimamishwa kazi kwa kuigiza kuchoma chanjo ya UVIKO-19
Wizara ya imeagiza kusimamishwa kazi kwa miezi mitatu Muuguzi Msajiliwa, Scholastica Kanje anayefanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, Arusha, ...Mahakama yabadili utaratibu uendeshaji kesi ya Mbowe
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake hadi Agosti 6, ...Maelekezo ya EWURA kuhusu bei za gesi za majumbani (LPG)
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha mara moja upandishwaji wa bei za gesi ya kupikia majumbani (LPG) ...Siku 16 za Mbunge wa CCM, ajiuzulu kabla ya kuapishwa
Mbunge wa Konde, Sheha Mpemba Faki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amejiuzulu nafasi hiyo leo Agosti 2, 2021 kutokana na changamoto za ...