Habari
Sabaya aagiza polisi kukamata wasiotoa/dai risiti
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiagiza kamati ya ulinzi na usalama kusaidiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwakamata ...Apata faida TZS bilioni 6 kwa kuuza chanjo bandia ya Corona
China inamshikilia kiongozi wa kundi moja ambaye ametengeneza mamilioni ya fedha kwa kuuza chanjo bandia ya virusi vya corona. Mtu huyo aliyefahamika ...TECNO KUDUMISHA UPENDO NA WATEJA WAKE
Katika kusherekea msimu huu wa sikukuu ya VALENTINES kampuni ya simu pendwa TECNO yazindua promosheni kabambe, aidha promotion hii itahusisha kwenda kupata ...Kenya: Mbunge aingia bungeni na bastola
Taharuki ilizuka ndani ya Bunge la Kenya jana baada ya mbunge mmoja kuingia na bastola ndani ya ukumbi wa bunge wakati kikao ...Dkt. Abbasi: Chanjo za Corona zikithibitika, Tanzania itazitumia
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa Tanzania haijadharau chanjo ya corona lakini pia haiwezi kuwa sehemu ya ...Serikali haitatangaza ikipandisha mishahara ya watumishi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewatoa hofu watumishi wa umma kuhusu maslahi yao na kubainisha kuwa serikali haitatangaza hadharani itakapopandisha mishahara yao. Ameyasema ...