Habari
Jaji Mkuu Mstaafu Kenya ajiunga kwenye maandamano ya Gen Z
Jaji Mkuu Mstaafu nchini Kenya, David Maraga amejiunga na maandamanao ya vijana (maarufu Gen Z) jijini Nairobi akilaani ukatili wa maafisa wa ...Rais Ruto awataka Wakenya kuwaheshimu Polisi
Rais wa Kenya, William Ruto, amewaonya wananchi dhidi ya jaribio lolote la kuvuruga amani na utulivu wa taifa hilo, kuelekea maandamano yaliyopangwa ...Rais Museveni kuwania urais mwaka 2026
Chama tawala cha National Resistance Movement (NRM) cha nchini Uganda kimethibitisha Rais Yoweri Museveni kuwania tena urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ...Nafasi 250 za Ajira Serikalini
POST: TUTORIAL ASSISTANT (ACCOUNTING) – 1 POSTEmployer: Chuo Kikuu MzumbeMore Details 2025-07-06 Login to Apply POST: TUTORIAL ASSISTANT (ACCOUNTING AND FINANCE) – 1 POSTEmployer: Chuo Kikuu MzumbeMore ...Baba wa kijana aliyepigwa risasi Kenya atapeliwa akiahidiwa kusaidiwa bili ya hospitali
Jonah Kariuki ambaye ni baba wa Boniface Kariuki, muuza barakoa aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya ametapeliwa KSH 200,000 ...









