Habari
Viongozi wamshukia Askofu Gwajima sakata la chanjo
Baadhi ya viongozi na wanasiasa nchi wameonesha kutokubaliana na kauli iliyotolewa na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwataka ...Mwigulu awataka wafanyabiashara waliokimbilia Zambia kurejea, aahidi mwafaka
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara wa Tanzania waliokimbilia Nakonde nchini Zambia kurejea na kufanyabiashara nchini na kuwahakikishia ...COVID19: Maagizo mapya 9 ya wizara kuhusu uendeshaji wa ibada
Katika mwongozo mpya wa kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona uliotolewa leo na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee ...Masauni: Tozo za miamala ya simu siyo jambo geni
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema kodi ya miamala ya simu sio jambo geni nchini kwani huduma ...Tisa wanaopima COVID19 uwanja wa ndege wasimamishwa kazi
Watumishi tisa wa Kitengo cha upimaji wa COVID-19 kwa wasafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar ...