Habari
Wasifu wa Brigedia Jenerali Ezra Ndimgwango aliyefariki
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametangaza kifo cha Afisa Mkuu Brigedia Jenerali, Ezra Wilson Ndimgwango (Mstaafu), kilichotokea ...Wasafi TV kurudi hewani Machi 1, 2021
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekiruhusu kituo cha televisheni, Wasafi TV, kuanza tena kurusha matangazo kuanzia Machi Mosi 2021, baada ya kupunguza ...Polisi Dar wapiga marufuku jogging siku za ibada
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa halitatoa vibali kwa ajili ya watu kufanya mbio za taratibu (jogging) ...Rais Magufuli ataka mabadiliko mfumo wa mahakama
Rais Magufuli ametoa wito kwa mahakama na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya mabadiliko ya sheria na mifumo ya mahakama iliyorithiwa kutoka ...Kodi za mabango na majengo zarudishwa halmashauri
Serikali imetoa muongozo mpya ambapo kuanzia sasa kodi za majengo, ushuru wa mabango na vitambulisho vya wajasiriamali vitasimamiwa na wakurugenzi wa halmashauri, ...