Habari
Waziri wa Maji, Juma Aweso anusurika kutumbuliwa na Rais Magufuli
Rais Dkt. Maguful amesema kuwa endapo Waziri wa Maji, Juma Aweso asingewafukuza kazi wakandarasi wa mradi wa maji katika Wilaya ya Mwanga, ...Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi aliyenunua gari la gharama kubwa
Rais Dkt. Magufuli ametangaza kumsamehe Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Kahama, Anderson Msumba aliyekuwa akikabiliwa na tuhuma za kutumia fedha nyingi za ...Serikali yaagiza vifaa vya kukagua magari kutoka Ujerumani
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amesema kuwa serikali imeagiza vifaa vya kisasa nje ya nchi kwa ajili ya kufanya ukaguzi ...Waziri Mpango: Atakayevujisha siri za serikali atajutia ukaidi wake
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amelitaka baraza la wafanyakazi wizara hiyo kufanyakazi kwa kufuata misingi na kuwa hatasita kumchukulia ...Jafo apendekeza stendi ya Mbezi Luis kupewa jina la Rais Magufuli
Waziri wa TAMISEMI, Seiman Jaffo ameelekeza uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis inaanza ...