Habari
Diamond: Wakati mwingine tutashinda BET
Mwanamuziki Diamond Platnumz amewashukuru Watanzania kwa upendo na umoja waliomuonesha katika kipindi chote cha kuwania tuzo ya BET nchini Marekani. Diamond ametoa ...Kelvin John asajiliwa KRC Genk ya Ubelgiji
Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’ (18) amesajiliwa na KRC Genk ya Ubelgiji kwa mkataba wa miaka mitatu, hadi mwaka 2024, ...Mahakama Kuu yawafutia hukumu Mbowe na wenzake, yaamuru faini zao kurejeshwa
Mahakama Kuu imetengua hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyowatia hatiani Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake saba, na kumriwa ...Tanzania yakanusha kuruhusu kilimo na matumizi ya bangi
Serikali imesema kuwa haijaruhusu matumizi na kilimo cha bangi, na hivyo kuwataka wananchi kujikita katika kilimo cha mazao mengine yenye tija. Msimamo ...Masuala la ugaidi na Corona yatawala mkutano wa SADC
Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) leo wamekutana mjini Maputo nchini Msumbiji katika mkutano wa ...Maswali ya mtego kwenye interviews na namna ya kuyajibu
Kila mtu anapokwenda kwenye usahili, huwa na lengo kubwa kichwani mwake, kupata kazi. Lakini sio wote wanaofanikiwa kupata kazi, licha ya kuwa ...