Habari
Rais Magufuli: Hospitali ya Rufaa ya Kanda, Chato ijengwe kwa pamoja, sio kwa awamu
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufili ameiagiza Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhakikisha Hospitali ya Rufaa ya ...Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete awahimiza wananchi kuunga mkono ujenzi bandari kavu ya Kwala
Na ANDREW CHALE, CHALINZE. MBUNGE Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewahimiza wananchi wa Kitongoji cha Kisogo, Kijiji cha Visezi Kata ya Vigwaza ...TCRA na TRA zatakiwa kukusanya mapato ya wasanii kupitia mtandao
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,, Innocent Bashungwa ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutumia teknolojia katika ukusanyaji mapato kwa njia ...Waziri Ummy atoa miezi mitatu vifungashio vya plastiki kuondolewa sokoni
Serikali imetoa miezi mitatu kwa wenye shehena ya vifungashio visivyokidhi viwango vya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) vinaondolewa sokoni. Agizo hilo limetolewa ...Kocha Sven: Mo Dewji na Barbara walinishawishi sana nibaki
Aliyekiwa Kocha Mkuu wa Simba SC, Sven Vandebroeck amesema kuwa ameachana na klabu hiyo ili kupata uwiano wa muda sawa kati ya ...WhatsApp yaleta vigezo vipya vya lazima, wanaovikataa kuzuiwa kuitumia
Mtandao wa WhatsApp imewataka watumiaji wake, takribani bilioni mbili duniani kote, kukubali vigezo (terms) vipya vya kutumia programu hiyo, ambavyo vitaiwezesha programu ...